Ewe Mwanamke ambaye baada ya tendo tu unakurupuka na kushika simu yako

Ewe Mwanamke ambaye baada ya tendo tu unakurupuka na kushika simu yako

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Unamkata mmeo/mpenzi wako stim. Haiwezekani yani mwamba kajitahidi kusukuma mashine hadi jasho linamtoka.

Wewe punde tu unakurupukia simu na kuingia kwenye makundi ya vikoba. Unakata stim.

Walau pretend.. pitiwa hata na kausingizi kakinafiki...legeza sauti na legeza macho, hii itamfanya mpenzi wako ajihisi kidume. Hata ukiomba hela utapewa.

Acha jeuri.

🤣🤣
 
Back
Top Bottom