data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Unapomnyang'anya mumeo Sauti, Mamlaka, Hadhi ya ubaba inakusaidia nini!?
Na kwanini unafanya hivyo.!?
Mbona kijana wa watu hana hatia kabisa. Uhuru unaoutaka wa kujiachia, kuwa na Wanaume wengine,kuushika mshahara wake, kumzalia watoto wasio wake n.k. inakusaida nini!?
Kwanini usiachane nae!? Kwanini usimwache aende!!? Unawaleta wanaume mbele yake,,wanakulala.
Unamfanya achukie ndugu zake, asiwajali wazazi wake.
Hivi inakusaidia nini!? Nyinyi wanawake wenye tabia hii ya kipumbavu.