BAGUNYA
Member
- Oct 24, 2017
- 90
- 54
Mkuu niseme tu labda wewe bado hujagunduwa tu
Na umechelewa kuunda tume lakini
Mubashara hiyo ni sehemu ya viungo katika medani ya mapishi kwa mfano mchele kuna wanaopenda pilau wengine biriani na wengine wali mweupe
Nadhani wamejaribu kuboresha lakini wamechemka.