Ewe Mwanamke , ulimpotezaje mumeo/boyfriend wako? Ulifanya nini akaacha kukupenda?

Ewe Mwanamke , ulimpotezaje mumeo/boyfriend wako? Ulifanya nini akaacha kukupenda?

IMG-20241106-WA0004.jpg
nikuelezeee vizuri
 
Tumesikia vya kutosha juu ya wanaume kuwa vyanzo vya mahusiano kuvunjika, leo ningependa tupate maneno mawili matatu kutoka kwa wanawake wa nguvu wanaojitambua na kutambua mapungufu yao ambayo yalisababisha mahusiano yao kuvunj𝑖𝑘𝑎.
Wengine hawaachwi wanaacha.
Akikupenda mungu inatosha 🤒
 
Alikuwa msichana wa kawaida tu.
Hana mambo mengi nilimtongoza akakubali.

Siwezi ku=define uhusiano wetu kama ni uhusiano. why miezi 10 anabana mbunye. kwangu hatiki kuja. visingizio kibao. na tunaishi umbali wa mita 300 apart.

nikaona mambo yasiwe mengi sijazoea kuchomeshwa mahindi.

nikajikata kimya kimya bila hili wala lile. akarudi kwa kasi nikasema labda kabadilika. the situation was kama mwanzo. This time nikala buyu mazima sitaki kumsikia wala kumuona. i was disgusted.

nikasaka mwingine kuendeleza libeneke.
 
Wanawake hawana accountability. Hawawezi kukubali makosa na kutake responsibility. Hivyo huu uzi unaweza usipate response yoyote.
 
Back
Top Bottom