Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Kuvumiliana ndo kudumu kwenyewe..!!Kwani Kuna mapenzi ya kudumu,wengi huvumiliana tu
Basi msishughulike na walioshindwa kuvumilia, muendelee kuvumilia mkuuKuvumiliana ndo kudumu kwenyewe..!!
Wengine hawaachwi wanaacha.Tumesikia vya kutosha juu ya wanaume kuwa vyanzo vya mahusiano kuvunjika, leo ningependa tupate maneno mawili matatu kutoka kwa wanawake wa nguvu wanaojitambua na kutambua mapungufu yao ambayo yalisababisha mahusiano yao kuvunj𝑖𝑘𝑎.
Hizi tabia wanazo wanaume. Yaani akosee aseme kbsaa eti nimekosea weee!! Mmoja kwa 100. Kosa lake atataka kukuzuga na kuonesha wewe ndo mkosaji. Hawakosi sababu.Mwanamke akubali kosa na aseme wazi wazi?
Sijawahi kuona.
Uzi utadoda.
Nyie ndo hamkosi sababu mnakimbilia kulia na kulalamika mnaonewaHizi tabia wanazo wanaume. Yaani akosee aseme kbsaa eti nimekosea weee!! Mmoja kwa 100. Kosa lake atataka kukuzuga na kuonesha wewe ndo mkosaji. Hawakosi sababu.
Sasa wewe Hilo la kudanganya unaliona dogo!?, Unadanganya kiasi mpka ukiongea ukweli inaonekana ni uongo.Nyie ndo hamkosi sababu mnakimbilia kulia na kulalamika mnaonewa
Afadhali sie tunadanganya
Allah akupe Qaur Thabeet.Mwanamke akubali kosa na aseme wazi wazi?
Sijawahi kuona.
Uzi utadoda.
😅😂Nilibomolewa MBUNYE na rafiki yake.
Akanifukuza.
Cc: Mbaga Jr Mwachiluwi Lloyd Munroe Half american Poor Brain
We ounguza kupenda duduNilibomolewa MBUNYE na rafiki yake.
Akanifukuza.
Cc: Mbaga Jr Mwachiluwi Lloyd Munroe Half american Poor Brain
Lazima tushughurike nao ili tujue walishindwia wapi na sisi tufanye nini kuendeleza uvumilivuBasi msishughulike na walioshindwa kuvumilia, muendelee kuvumilia mkuu