princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
- Thread starter
-
- #21
Hahahaha!!nikafanyaje sasa mkuu?pole sana kwa kuchapiwa chalii ya kijenge juu, kama vipi shuka kijenge chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumu kumeza hii.Aziniye na mwanamke hana akili kabisa!
Sio mie ni Bible mkuuNgumu kumeza hii.
Sio wote mkuuElewa kuwa wanawake wote walio kwenye mahusiano, uchumba na ndoa kwa ujumla ni wachepukaji.
Ila wanatofautiana kwa namna wanavyochepuka maana kuna wanao chepuka kwa waziwazi kabisa, kuna wanao chepuka kwa kujificha kiasia na kuna wale wanao chepuka kwa siri ya hali ya juu.
Hivyo ukijifanya umekufa umeoza kwa manzi utakuja kufa kwa presha
Namalizia hekaheka ya Leo tena apa then saa7pm Nainasia Xtra Xtra Large hadi saa10 za pm.Pole chalii
Vipi XXL haijaanza ukasikilize??
Aina kwere,ainomeki ariff
Sura ya ngapi?mstari wa ngapi hadi ngapi mamiloo nisome coz nna bible tayari mkononi apa fiade.Sio mie ni Bible mkuu
Achaga njaro za ki'whack dingiiwise,Mbona unaniletea mangendembwee yakushato asee!!Kwani PM ni nini chaliangu?Ni kifupi cha jina langu2 aride usihanye kisoro ivo.
Hiiiii,,!!Ona sasa uyu mamsi nae!
Tatizo Bangi mkuuDOGO BHANA, SHULE ZIMEFUNGWA AU NDO STRESS ZA MAGU KITAA