Ewe Mwanamke Unaye-cheat

Ewe Mwanamke Unaye-cheat

Pole chalii

Vipi XXL haijaanza ukasikilize??
 
Elewa kuwa wanawake wote walio kwenye mahusiano, uchumba na ndoa kwa ujumla ni wachepukaji.

Ila wanatofautiana kwa namna wanavyochepuka maana kuna wanao chepuka kwa waziwazi kabisa, kuna wanao chepuka kwa kujificha kiasia na kuna wale wanao chepuka kwa siri ya hali ya juu.

Hivyo ukijifanya umekufa umeoza kwa manzi utakuja kufa kwa presha
 
Sio wote mkuu
 
Back
Top Bottom