Ewe Mwanamke Wa JF, Ukipata Mwanaume JF Jua ndio Mwanaume Bora Tanzania

Nimeona nipakue post zako wew,

Duuuu nimeona wew sio talkative sanaaa, pia sio mjuaji sana.
Advice,,,
Waitaji mwanaume kichwa na nakusii chagua mume kwa umakin endapo bado hujaolewa, Kumbuka kusali Mungu akupe Mume mwema.
Uliposema chagua nilisita kidogoo, ila umemalizia vizuri. Nimuombe Mungu anipe mume mwema.
Hakika kwa akili zangu sitaweza kuchagua mume ila naamini Mungu ndo atakayenichagulia!

Asante mkuu, blessed!
 
Mkuu sio wote walioko mtaani wapo JF na vivyo hivyo sio wote wapo mitandao mingine ya kijamii!
Kuwepo ama kutokuwepo JF ni uamuzi wa mtu mkuu. Ila wanaume walioko humu ndo hao huko nje nikimaanisha wapo wazuri na wenye tabia mbaya pia.

Kuwepo humu ndani hakutufanyi wote kuwa watakatifu. Kila mtu ana tabia yake!
 
Ni kweli, lakini mm naona kama humu kupata mwenye sifa ni lahis japo sio wengi.

Unaamin mm kwa sasa najua tabia yako for 50 percent.
 
Ni kweli, lakini mm naona kama humu kupata mwenye sifa ni lahis japo sio wengi.

Unaamin mm kwa sasa najua tabia yako for 50 percent.
Kwa huku sio rahisi kabisaaa mkuu, mtu anaishi kulingana na ID yake! Wengi wanavyoandika sivyo walivyo!

Kama unajua ni 10% na hizo nimekupa saana
 
Mi nikwambie tu ukiwa mtu muelewa ni rahis sana kutambua kuwa mtu huyu katoa ushahuri fulan kwa kudanganya au kwakusema kweli analolijua yeye.

Maana humu JF mala nyingi tunashauliana, alafu nimependa sana option walio weka ya kuweza kuona post za member fulan zoteeee toka kajiunga JF

So nirahs sana kujua tabia ya mtu,
Kam uamin mm nitaku PM alafu nianze kutaja tabia yako.

Na nilijua wew swala la wanaume hujawazoea vizur na ni ngumu kwako kuwahoji ndivo ulivo wafikr why nmehs ivo kwako?
Kwa huku sio rahisi kabisaaa mkuu, mtu anaishi kulingana na ID yake! Wengi wanavyoandika sivyo walivyo!

Kama unajua ni 10% na hizo nimekupa saana
 
Humu ndani watu wanaishi kulingana na mtu anayezungumza naye nyuma ya keyboard!

Ukitaka uone wanaume wapole wapo humu, wakorofi wapo na wanawake vile vile! Mtu mmoja anaweza kuwa na tabia za watu watano kwa watu tofauti!

Sijui unanisoma vipi ila naomba tuishie hapa tuu mkuu!
 
Ebu nipe ID ya mtu ambae unaona anatabia nyingi then tuishie apo.
 
Ebu nipe ID ya mtu ambae unaona anatabia nyingi then tuishie apo.
Bahati mbaya sana huwa sinaga tabia ya kufuatilia ID ya mtu! Ila wewe hebu jaribu tuu utagundua hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…