Ewe Mwanamke Wa JF, Ukipata Mwanaume JF Jua ndio Mwanaume Bora Tanzania

Nikuulize kitu...
Wew hao unao waona huko ulipo unafikir wote wapo JF????
Hujiulizi kwa nn wapo wanaojiunga na wasiojiunga? Why?

Kiukweli tu kwa sisi wavulana humu kila mvulana anakaa kwa reality, kama uamin anza kupakua post za watu wanaoandika ujinga utakuta ni ujinga mfululizo, lakin wanaojitambua wapo na ni weng tu kuacha vitoto vya shule vinavyozamia humu havijui maisha vizur mambo mengi vinawaza na kusoma madaftar.
Ya Mungu mengi, walio humu ndo tuko nao mitaani, makanisani kila kona ya dunia! Tabia zao ndo hao huko nje, wapo wazuri na wabaya pia. Sio kwamba kuwa JF ni kuwa sayari nyingine
 
Humu wanaume mpaka wanawake ni fekiii zaidi ya mchina,mwanaume au mwanamke bora hawezi kutumia fake ID.
 
Ya Mungu mengi, walio humu ndo tuko nao mitaani, makanisani kila kona ya dunia! Tabia zao ndo hao huko nje, wapo wazuri na wabaya pia. Sio kwamba kuwa JF ni kuwa sayari nyingine
Wanaume wa JF naona kama wameshushwa kwa Mungu
 
Nimeona nipakue post zako wew,

Duuuu nimeona wew sio talkative sanaaa, pia sio mjuaji sana.
Advice,,,
Waitaji mwanaume kichwa na nakusii chagua mume kwa umakin endapo bado hujaolewa, Kumbuka kusali Mungu akupe Mume mwema.
Ya Mungu mengi, walio humu ndo tuko nao mitaani, makanisani kila kona ya dunia! Tabia zao ndo hao huko nje, wapo wazuri na wabaya pia. Sio kwamba kuwa JF ni kuwa sayari nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…