Ewe Mwanamke Wa JF, Ukipata Mwanaume JF Jua ndio Mwanaume Bora Tanzania

Ewe Mwanamke Wa JF, Ukipata Mwanaume JF Jua ndio Mwanaume Bora Tanzania

Kiukwel mwanamke atakae pata bahati ya kuolewa na mimi atakua kaokota almas mtaa wa kongo.. Nafanya kila kitu nachoona kitafaa ili aje kuushi maisha ya furaha na amanii.. Usinitese tu we mwanamke
Hahahaha bro inaonyesha wewe ni muaminifu sana kwenye mahusiano but mwishoni huwa unaishia kwenye maumivu.!!
 
Back
Top Bottom