RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mimi kila siku nawaambia, mkifuata mwandishi humu mtaumia.Sijamaanisha wanaandika vibaya. Nimemaanisha maoni yao juu ya vitu mbali mbali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kila siku nawaambia, mkifuata mwandishi humu mtaumia.Sijamaanisha wanaandika vibaya. Nimemaanisha maoni yao juu ya vitu mbali mbali.
Wewe sio mwanamke wa mtu?Mtuambie kabisa ni waume za watu
Tumechoka kudanganywa
Marahaba mtoto mdogo...Kaka Shikamoo
Mzee wa mtetemeko, andunje mwenye tumbo kama la afisa kilimo.Mume mwema niko nakusubiri hapa [emoji847]
KhaaaaMzee wa mtetemeko, andunje mwenye tumbo kama la afisa kilimo.
HayaMimi kila siku nawaambia, mkifuata mwandishi humu mtaumia.
Khaaaa
Halafu nilikuwa nakuhisi ni wewe mbonaa uko na mai'ds mengi hivi jamani
Tena ndo wengi
Hahhaha ulifanyaje tena pole sana nahisi itakuwa ndefu sana naona umemuweka kwa avatar pacha wakoTulia na kitumbo chako kama cha konda wa kidinolo trans.
Bun bun bu. Ban ban ban bun
You're rightKinyume chake..!
Ewaaaa una kumbukumbu sana, ndiyo maana nakukubali.Hahhaha ulifanyaje tena pole sana nahisi itakuwa ndefu sana naona umemuweka kwa avatar pacha wako
Msalimie sana jamani huwa nampenda tu mimiEwaaaa una kumbukumbu sana, ndiyo maana nakukubali.
Pacha yupo hapo anakula upepo.
Msalimie sana jamani huwa nampenda tu mimi
Usiniambie umepewa ya miezi 3
Nitakumiss tu mimiMwaka mpya tutakuwa wote wala siyo safari ya siku nyingi.
Salama atazipata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ahh kuna mtu kashika simu yangu halafu ame mkoment kwenye post yako muhumini wangu, ukichokifuta ilikua unitukane parokoAiseee naandika nafuta ni wewe ndio umeandika
Hahahha nami pia japo tutakuwa kiroho ila kimwili hadi January.Nitakumiss tu mimi
Umekuwaje lakini umeongea maneno mazito sana ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ahh kuna mtu kashika simu yangu halafu ame mkoment kwenye post yako muhumini wangu, ukichokifuta ilikua unitukane paroko
Hahhaahhah jinga weweHahahha nami pia japo tutakuwa kiroho ila kimwili hadi January.