STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Ukiona Msichana anaongea hivi au kila siku anajifanya
kukushtakia ''Baby kuna mkaka ofisini ananisumbua
kweli sijui kapata wapi namba yangu analeta zawadi
mara anataka kunitoa lunch...Ananiudhi mimi basi
tu" Aina hii ya Wasichana ni Cheuro na Kijoti....Hamna
kitu hapo..Anakutishia kwamba amekataa wanaume wa maana ili umuone wa maana kumbe hamna
lolote....Anasema kakataa mtu ofisini lakini huyohuyo
amekubali wengine 3 mtaani mbona hajawasema....Msichana kutongozwa ni kawaida na sio kuja kutishia
eti wanaume uliokataa ni wengi sana..Hata Yesu
anakataliwa kila siku..
Ewe Mwanaume usiwe juha...Kama una demu type hii nakusihi FUTA
DELETEKABISAAAA