Ewe mzazi kama unaishi na mwanao au jamaa ambaye ni Jobless, basi zingatia haya

[emoji3516]
MIMI KAMA KATIBU MWENEZI WA UMAJOTA (UMOJA WA MAJOBLESS TANZANIA),
NASEMA TUKO PAMOJA SANA!!!!
 
wacha bangi, nimesha jua unacho wazia🤣😂
Hamna nipo seriously kabisa!

Tukiupata idadi ya wanachama wenye sifa na ambao watafanya maombi tutaanza kuwapigia debe!

Kuwaonganisha wao kwa wao ili kuunda groups za kupeana hints na materials

Pia tutatumia jambo hili kuwa kama kipimo.

Je katika wanachama wetu wangapi watapita ili kupata uhalali wa kuisema TRA kama wanapeana kazi kwa michongo!

Jamii forum ni platform kubwa sana kwa kutumia chama chetu tutaweza kuwasaidia wengi ili interview zifanyike kwa Haki!
 
Mawazo mazuri Selikavu, makutupora, min -me, Thecoder
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…