Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #121
Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo itakuwa fahari kubwa kwangu Sina cha kuwapa zaidi ya kusemeMimi kama msemaji wa CHAMA hiki
Nikuhakikishie kuwa tupo mbioni kukamilisha utaratibu si tu wa kuoa bure au kupunguziwa mahari Bali kuoa bure na Baba mkwe kukupa mtaji.
Nipo MZIMA wewe mnaendeleajee wewe na familiaDr habari nafurah kukuona hapa!
Mkuu una jua madhara ya kumsumbua ghafla, mtu aliye zama kwenye usingizi??.hahaa eti usiamshwe kama umelala, au usitumwe tumwe kila wakati. Sasa unataka ukae kwa mtu ule ulale bure hata usiashwe au kutumwa? Kwa staili hii hutaweza kuishi na yeyote
jobless usiwe useless ukiwa nyumbani kwa mtu amka mapema jitume wewe mwenyewe kama ni wewe mkaka basi mwagilia hata bustani, safisha gari ya baba kabla hajatoka au saidia hata kupasi nguo
Kama wewe ni mdada basi amka mapema msaidie dada wa kazi sio wewe unalala eti housegirl ndio akuandalie na wewe chai.. unataka upewe hadhi ya baba au mama kutengewa chakula..subiri uwe na kwako hiyo haki utaipata tu
mkijifanya wajuaji ndio mtaona mnaonewa lakini mkiwa humble mbona mtaishi kwa amani tu
We mean no malice to nobodyMajobless huu mwaka ni wao. LOL [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo binti kiziwi anakuunga mkono?huyo ni kaka yangu Zulu man, toka Mwaka Jana ana force nioe😂😂.
Jobless unalala fofofo kwa sababu unapewa chakula na kulala bure hapo ulipo. Jobless wa Ulaya wanalala nje kwenye barafu.Mkuu una jua madhara ya kumsumbua ghafla, mtu aliye zama kwenye usingizi??.
Jobless ana amka mapema na kufanya shughuli hizi na zile, hakuna uvivu ukiwa jobless.
mkuu kwanza jua hakuna asiye saidiwa, no one makes at the top mwenyewe.Jobless unalala fofofo kwa sababu unapewa chakula na kulala bure hapo ulipo. Jobless wa Ulaya wanalala nje kwenye barafu.
Endeleeni kuwatunishia wanao wasaidia halafu hicho chama chenu muende kwa mkuu wa mkoa akawape chakula na malazi baada ya kutimuliwa na wafadhili wenu
Kwamba na yeye ni kataa ndoa au??Kwahiyo binti kiziwi anakuunga mkono?
basi utakuwa sio jobless au huelewi maana ya jobless?. kama una kaa kwako nani atakuamsha asubuhi na uko kwako? wewe si umesema wanao kaa kwa wazazi au ndugu wasiwaamshe? ukikaa kwa ndugu utaamshwa tu kama hutaki kuamshwa au kutumwa basi kaa kwako usikae kwa mtumkuu kwanza jua hakuna asiye saidiwa, no one makes at the top mwenyewe.
halafu kwanini nisi lale bure, akati nakaa kwangu???.
halafu jobless hali au kulala bure, hizo ni lugha potofu.
mkuu Nina kiji Banda Cha mti na ma gunia hapa. Ndo naita kwangu.basi utakuwa sio jobless au huelewi maana ya jobless?. kama una kaa kwako nani atakuamsha asubuhi na uko kwako? wewe si umesema wanao kaa kwa wazazi au ndugu wasiwaamshe? ukikaa kwa ndugu utaamshwa tu kama hutaki kuamshwa au kutumwa basi kaa kwako usikae kwa mtu
Hatujambo tu wazima wa afya Jah ana bless!Nipo MZIMA wewe mnaendeleajee wewe na familia
Upo timu kataa ndoa eee....uoe Sasa 😊☺️Hatujambo tu wazima wa afya Jah ana bless!
Familia ipi Dr,? 😂
Labda ya wazee wangu... Tuko vyedii 👊
Salam wakuu, andiko hili ni kwa ajili ya kuelimisha jinsi jamii inavyo paswa kuishi na ma jobless pro max.
Jamii yetu ina watu mbali mbali, wapo wenye ajira, ma jobless pro max, watu wa daraja la kati na hata wakishua. Shida inaanza baadhi ya wanajamii wanakosa utu na akili, na kupelekea kuwa ona ma jobless Kama midoli.
Haya ewe mzazi, mlezi, rafiki, zingatia haya pindi unapo kaa na jobless yoyote.
1. Usiingilie ratiba ya jobless pasipo kumtaarifu. Kama ame lala, usijifanye kumuamsha asubuhi asubuhi as if yeye ni toy lako la kuchezea.
2. Usimseme seme jobless, wakati wa chakula. Kama kuna mambo hayako sawa tafuta wakati mzuri myazungumze.
3. Usimtukane jobless kisa kukosa kazi au shughuli ya kuendesha maisha yake. Amini nakwambia kuna watu wanajifanya ni mabingwa wa kuhukumu watu, kisa tu kakosa shughuli usi muone mvivu, au mzigo, hizi kejeli zinamuathiri kisaikolojia.
4. Usimtume tume jobless kila mara, kumbuka hata punda ana mapumziko. Kukosa kwake shughuli haku kupi wewe nafasi ya kujiona mfalme. Kumbuka Kuwa utazeeka.
Sasa sijui akijipata itakuwaje.
5. Mtaarifu ikiwa hutopenda kuendelea kumpa hifadhi. Kama unaona hauna mipango ya kuendelea kukaa naye, basi mpe habari ili ajipange, haitopendeza ukimuimbia taarab hovyo.
6. Usimtolee kauli ya mfano wa kushindwa mbele ya wengine. Riziki haitoki mikononi mwako, siku Moja akichoka anaweza kukupasua huo mdomo.
Raisi wa chama Cha ma jobless pro max Intelligent businessman. Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
Hakuna ubaguzi, umoja, upendo na amani. Sikiliza na tatua changamoto za ma jobless pro max.
View attachment 3225110
Hapana sipo hiyo team Dr, Insha'Allah tutakula ubwabwa na bapa 😂Upo timu kataa ndoa eee....uoe Sasa 😊☺️
Ufanye ivyo Tena isizid miaka miwili ijayo inshallahHapana sipo hiyo team Dr, Insha'Allah tutakula ubwabwa na bapa 😂
Hii izingatiwe sana.2. Usimseme seme jobless, wakati wa chakula. Kama kuna mambo hayako sawa tafuta wakati mzuri myazungumze.