Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

wanaume mnalia sana siku hizi

mimi ni commando, i will never surrender
Yan hakuna icho kitu kwakweli
Watu hawafanani na upendo haufanani nilisema na nilimchana x wangu kuwa kuniumiza hakunifanyi nitesek Wala nichukue mapenz nikipata mwingine nitampenda had achanganyikiwe na nitapendwa sana tu
Now anahangaika tu

Nimechagua kuwa positive
 
Aaliyyah
 
Nikikumbuka mpaka nilipost uzi humu nyie

Aiseee siamini kama sasa hivi moyo wangu umekua na ganzi kiasi hiki.

Nitajaribu kuhadithia kwa mafungu mafungu
Ili kwa yoyote anaepitia changamoto ya kuumiza moyo sana kiasi cha kuhisi dunia sio yako,amini katika muda.

Muda huponya mioyo iliyopondeka
Ilikuchukua muda Gani kupona
 
Kuna Mimi Leo siku ya 4 sijawasiliana Na mtoto wa mama mkwe najipa Moyo yeye sio uzima wangu
 
Ndoivo Na huwezi penda Sawa Kuna mwingine hutampenda Sana mwingine kidogo Kuna mwingine atakukosha Zaidi utampenda Sana Na atakutesa sana
Umemalizia vizuri.
Nikupe siri.
Ukimpata mwenye akili na utu aliyewahi kutendwa na wewe ulishawahi kutendwa, mnajua wote maumivu ya kutendwa...

Mkayajenga na mkaelewana...mnaweza kufutana machozi na mkawa na mbingu mpya za penzi zito na lenye......❤️😘
 
Katika kitu ambacho hakijawahi kunipa shida ni mapenzi hayajawahi kunitesa hata siku moja.

Mpaka sometimes i'm just asking my self what kind of a man am i?

Mapenzi sio shida though sometimes naplan ku hit and run but najikuta nimezimika kimtindo na mabinti wenye maringo wakali wa mitindo ila nikishawapiga nyundo a countless times naboeka after that i look into another glory hole to dip in my hunky punky that's me "MR LOVE NO LOVE"

Masai dada na wenzako nitafuteni niwafundishe how to easily get away with pain caused by the one you love or you once loved him or her.

Naitwa "MR LOVE NO LOVE"
Aisee i did that in a very hard way
Very hard way
 
Back
Top Bottom