Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

Hongera mama
 
Najua sitaoelewa tena
I dedicate my life to my kids

Ila ikitokea nikawa na mpenzi i will be extra careful nisimuumize
Kama siwezi ni bira kuondoka kuliko kumuuumiza mtu in one way or another
 
Siriaz
Unaweza fanya jambo lolote ili upate afueni
 
Sijasoma andiko lako lakini ni wale mnaokimbilia wanaume Wahuni kwa sababu ya maslahi

Kitu kizito kikiwapiga mnakuja kulalamika eti wanaume wote wabaya.
You reap what you saw.
 
Sijasoma andiko lako lakini ni wale mnaokimbilia wanaume Wahuni kwa sababu ya maslahi

Kitu kizito kikiwapiga mnakuja kulalamika eti wanaume wote wabaya.
You reap what you saw.
Bush dokta
Mume wangu ni church boy
Nikikwambia vyeo vyake kanisani
Uwezi hata kuamini
Ila kuanzia koment yako ya kwanza umepanga kushambulia tu

Basi tuseme upo sawaπŸ˜‚
 
Kanuni moja kubwa ya kuishi bila shida kwenye haya "mapenzi"
Ni KUJIPENDA, KUJIJARI.

Utaona ulivyoamua kujijari(more concentration on your business)ndivyo ulivyoanza safari ya kupona.

unampenda mtu kuliko anavyojipenda, utaishia kuwa disappointed.
 
Hizo point mbili umemaliza uzi

Yaani
Hatua yangu ya kwanza ilikua hiyo
Kupigiwa simu walau mbili kwa siku na wateja,naiwazia ile oda nawaza namna ya kuboresha
Jamani nimetoka mbali
 
Bush dokta
Mume wangu ni church boy
Nikikwambia vyeo vyake kanisani
Uwezi hata kuamini
Ila kuanzia koment yako ya kwanza umepanga kushambulia tu

Basi tuseme upo sawaπŸ˜‚
Naomba kuuliza
Hivi kabla ya kuolewa, kwenye urafiki na uchumba hakuna viashiria vyovyote uliviona uka-ignore au hukujua kama ni red flags.
 
Sema Mimi siwezagi kurudiana Na maex
 
Naomba kuuliza
Hivi kabla ya kuolewa, kwenye urafiki na uchumba hakuna viashiria vyovyote uliviona uka-ignore au hukujua kama ni red flags.
Vikuwa viwili
Ila hicho cha pili ndo kilikua dhahiri

Alipiga simu mdada usiku
Cha pili mdo msg za wanawake wale wa telegram wale wanaojiuza hado kwa aftatu

Cha tatu ni mponografia mzuri sana hadi
Leo
Kalipia hadi subscription za wale wanaofanyaga live twerking wale
Mpaka leo

Niliyaona ila nikajua nitambadilisha
 
Kanuni moja kubwa ya kuishi bila shida kwenye haya "mapenzi"
Ni KUJIPENDA, KUJIJARI.

Utaona ulivyoamua kujijari(more concentration on your business)ndivyo ulivyoanza safari ya kupona.

unampenda mtu kuliko anavyojipenda, utaishia kuwa disappointed.
Shifa innanza ukiwa mwema Sana Kwa MTU ukampenda Sana Na ukamuonesha unampenda Yan badala ya. Kuappreciate Upendo anaanza kukutesq
 
Shifa innanza ukiwa mwema Sana Kwa MTU ukampenda Sana Na ukamuonesha unampenda Yan badala ya. Kuappreciate Upendo anaanza kukutesq
Watu wengi hawapendi kupendwa

Faida yangu kubwa ya kwanza nilimnunulia iphone 13 pro by the time

Ila ndo anachatia madem zake huko

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie sasa hivi ela zangu wanakula ndugu zangu na mama yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…