Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

masai dada Nina swali dadayangu kianchofanya mnakaa kwenye ndoa za namna hiyo Kwa miaka nenda Rudi na licha ya mateso mnayoyasema mnapitia Nini?

Mtuweke zangu wadogozenu tujue
Ni upendo?
Familia au nini tujifunze
 
Kwaiyo upo nae?
Mimi Huwa najiuliza kwanini wapo Bado kwenye hizo ndoa za aina hiyo jamni

Kuna dada nae anastory inataka kufananan na hii Bado Yumo anaishi maishayake michepuko kama yote na mume yupo
Ana biashara zake pia why wanaishi hayo maisha?ni Hawa watoto wanaosema ama ni nn
 
Yan wanaume abusive kama wako wanakuaga very good in bed
 
Narcissist are so good in bed very good utaenjoy
 
Ili kutesa maana ulikuwa unajua ndoa ni furaha kumbe wenzako hapa tunaoa Kwa ajili ya watoto tu.

Me siwezi acha vitoto vya 2000 vyenye chuchu mwiba ni ngumu kusema ukweli ila heshima Kwa mke itabaki Kwa kutimiza majukumu yake na watoto ila swala la kunituliza Kwa sex mmoja hawezi.
 
Nawe katika usichana ulisumbua sana! Unakumbuka Ubungo stendi....
 
masai dada Nina swali dadayangu kianchofanya mnakaa kwenye ndoa za namna hiyo Kwa miaka nenda Rudi na licha ya mateso mnayoyasema mnapitia Nini?

Mtuweke zangu wadogozenu tujue
Ni upendo?
Familia au nini tujifunze
Unahis one day atabadilika
 
Nimesoma hapo ukihalalisha ujinga wa kupekua Simu ya Mumeo kwa kigezo usipofanya hvo utakufa na ukimwi, nyumbu wengi akiwemo na mke wangu wanafanya huu ujinga....cha ajabu ulipekenyua ukakutana na Hitaji lako still bado jamaa ukaendelea kumpa mbichi na mimba ya mwanao wa kwanza ukashika......🤣🤣🤣
 
Kuteseka kwa mapenzi ni kujidekeza tu.

Inatakiwa utese kwa mapenzi, si uteseke kwa mapenzi.

Kwa nini umpe umuhimu mtu mmoja mpaka akutese hivyo, wakati kuna mabilioni ya watu duniani?

Ina maana wewe ni mbaya hivyo hakuna mwingine atakayekutaka?
Wanawake tunateseka kwenye mapenzi hasa ukijitoa na kuamua kuwa mke wa mtu, mama wa watoto, watoto wa baba mmoja! Mateso yanaanza unawaza nitoke tena nikazae zae huko na wanaume tofauti na nimeolewa? Jamii itanionaje, nyumbani ntawaambia nini wanielewe, yaan mambo ni mengi plus kumpenda mtu unakuwa unajipa matumaini ya mambo kubadilika siku moja mrudi kama kawaida
 
Ukishafanya maamuzi ya maisha yako kwa kuangalia "jamii itanionaje" ushashindwa maishani.

Kuna mambo nilifanya miaka 22 iliyopita, jamii haikunielewa, lakini leo wale watu ambao hawakunielewa ndio wanaonishukuru kwa kufanya nilichofanya.

Nilikuwa mbele yao kwa miaka 22.
 
Kama tulivozoezwa heshima ya mwanamke ni ndoa, haijalishi unaishije utajua mwenyewe ilimradi jamii inaona uko kwenye ndoa! Hii inagharimu maisha ya wengi kufikiria watanionaje
 
Kama tulivozoezwa heshima ya mwanamke ni ndoa, haijalishi unaishije utajua mwenyewe ilimradi jamii inaona uko kwenye ndoa! Hii inagharimu maisha ya wengi kufikiria watanionaje
Ndiyo hivyo nasema ukishaipa jamii maamuzi kwenye maisha yako huna control.

Na kila mtu angeishi kwa kufuata jamii inavyotaka, watu wasingesoma shule (jamii ilipinga waafrika kusoma shule), watu wasingetoka vijijini kuja mijini (jamii ilipinga hiki pia) watu wasingeoa au kuoleea na makabila tofauti (jamii ilipinga hili pia).

Kataa au kubali kitu kwa sababu kina hoja, kina mantiki.

Usikatae au kukubali kitu kwa sababu jamii inataka.

Wewe mwenyewe unataka nini?

Kuna dada mmoja mzungu alikuwa analalamika kwamba kaolewa na kuzaa kwa sababu baba yake alikuwa anamlazimisha aolewe na azae, mwenyewe alikuwa hataki kuolewa wala kuzaa.

Sasa baba yaje kafa, bidada kabaki na binti anamlea. Huyo aliyetaka mjukuu mwenyewe hayupo.
 
Dah aiseee
Yaani umeongea jambo ambalo siwezi kuliweka kwa maneno
Anakuumiza mpaka kwenye mfupa
Wewe unalia yeye walaaa
Aisee
Ukimpa attention ndo balaa
Unadhani yeye haumii??
Anaumia ila ana uwezo wa kukaa nayo kumoyo, wewe usieweza na unaetabirika matendo yako ndo utateseka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…