masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
- #101
Watu awaelewi hapaGanzi inaisha cute,mi umekufa mazima
Mtu anakutendea jambo miaka inaenda miaka inarudi
Anakupa usugu flani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu awaelewi hapaGanzi inaisha cute,mi umekufa mazima
Kabisa,na moyo ukishachoka haurudi nyumaWatu awaelewi hapa
Mtu anakutendea jambo miaka inaenda miaka inarudi
Anakupa usugu flani
Upo sawaWanawake wote wa JFS mna historia zilizojificha.
Unaweza kudhani Mwanaum3 ni mbaya kumbe shida iko kwako kutokana na matarajio makubwa uliyojiwekea. Sasa ukikuta huyapati ndio hapo unaanza kuona wanaume ni Mbwa
SahihuMnakosea sana.
Mungu hapangi kila kitu kuhusu sisi.
Maana imeandikwa... ufalme wa Mungu hutekwa na wenye nguvu.
Pili imeandikwa; Mwenye haki ataishi kwa imani akiisitasita lkn akisita sita yeye Mungu hatakuridhia.
.
Mungu ametupa nguvu ya kuyapambania tunayoyata.
Tuache visingizio🤣
HahahahhKuna kulia na kusaga meno
Labda ujasiri kwenye maandishi tu ila huku mtaani minyoosho Kama kawaHahahahh
Alafu coment zako nacheka sana
Siamini kama na wewe ulinyooshwa
Aise
Unaonekana jasiri sana
HahahahaLabda ujasiri kwenye maandishi tu ila huku mtaani minyoosho Kama kawa
Kilakitu ni riziki hata upambane vip kama hakina kheri kwako hakuna hayo mapambano Yako hayana ushindii wa kudumuMnakosea sana.
Mungu hapangi kila kitu kuhusu sisi.
Maana imeandikwa... ufalme wa Mungu hutekwa na wenye nguvu.
Pili imeandikwa; Mwenye haki ataishi kwa imani akiisitasita lkn akisita sita yeye Mungu hatakuridhia.
.
Mungu ametupa nguvu ya kuyapambania tunayoyata.
Tuache visingizio🤣
Sema kero ya mapenzi ndo ladha yenyewe ya mapenziHahahaha
Watu hawana huruma kabisa
Mie najimudu wewe🤣🤣🤣😂😂😂😂Ile ingekua ww tungeshakuzika
Ushakuwa legend 😀Mie najimudu wewe🤣🤣🤣
Ubaya wa maumivu ya mapenzi unakua unaumia kimya kimya hata washkaji wakikuuliza unakaza lakini ikifika jioni umepoa mwenyewe room sasa...Mie najimudu wewe🤣🤣🤣
Ujanja kwisha 😀😀Ubaya wa maumivu ya mapenzi unakua unaumia kimya kimya hata washkaji wakikuuliza unakaza lakini ikifika jioni umepoa mwenyewe room sasa...
🤣🤣🤣 long time kitambo.Ushakuwa legend 😀
🤣🤣🤣🤣🤣Ubaya wa maumivu ya mapenzi unakua unaumia kimya kimya hata washkaji wakikuuliza unakaza lakini ikifika jioni umepoa mwenyewe room sasa...
Mimi naumia kweli kweli lakin Sina matumiz mabaya ya furaha alhamdulillah nikipata nafas ya mtu anataka kupendwa na ninapenda nipo zea zea maisha yaendelee😀😀🤣🤣🤣 long time kitambo.