Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

Wanawake wote wa JFS mna historia zilizojificha.

Unaweza kudhani Mwanaum3 ni mbaya kumbe shida iko kwako kutokana na matarajio makubwa uliyojiwekea. Sasa ukikuta huyapati ndio hapo unaanza kuona wanaume ni Mbwa
Upo sawa
 
Mnakosea sana.
Mungu hapangi kila kitu kuhusu sisi.
Maana imeandikwa... ufalme wa Mungu hutekwa na wenye nguvu.

Pili imeandikwa; Mwenye haki ataishi kwa imani akiisitasita lkn akisita sita yeye Mungu hatakuridhia.
.
Mungu ametupa nguvu ya kuyapambania tunayoyata.
Tuache visingizio🤣
Sahihu
Uwezi kaa tu kwa kochi ukasema kila kitu kitakuja
 
Mnakosea sana.
Mungu hapangi kila kitu kuhusu sisi.
Maana imeandikwa... ufalme wa Mungu hutekwa na wenye nguvu.

Pili imeandikwa; Mwenye haki ataishi kwa imani akiisitasita lkn akisita sita yeye Mungu hatakuridhia.
.
Mungu ametupa nguvu ya kuyapambania tunayoyata.
Tuache visingizio🤣
Kilakitu ni riziki hata upambane vip kama hakina kheri kwako hakuna hayo mapambano Yako hayana ushindii wa kudumu
Otherwise utokee muujiza

Sijasema hayaumizi au hatuumi ila kudumu kwenye maumivu hakuna anaekuonea huruma hayo ni mateso Yako mwenyewe
 
Kuna kitu nimejifunza katika maisha ya ndoa ndoa nyingi zikisumbua hasa wanaume wakisumbua inafika sehemu mwanamke ana move on na anakuwa na nguvu ya kutafuta pesa sana naangalia ma single mother wenye akili.zao wapo vizuri sana
 
Ubaya wa maumivu ya mapenzi unakua unaumia kimya kimya hata washkaji wakikuuliza unakaza lakini ikifika jioni umepoa mwenyewe room sasa...
🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli ulinyooshwa!
 
Back
Top Bottom