Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

Hebu kuwa muwazi, umeshamcheat na wanaume wangapi
 
Muda unaponya mengi sana, pia ukiitambua thamani yako ni sababu kubwa ya kupona.
 
Nilimkuta anauza baa.nikaanza kudate nae.Kuna siku nimemfuma ghetto alilopanga anamuingiza operator was grader.Jamaa ndo walikuwa wanaingia kwa hiyo mbunye haikuliwa walikimbia.Nikasamehe.Nikamtoa baa nikamleta Kwangu.akatulia. Juzi ametoroka yupo Dodoma huko kwenye baa za Kitimoto.Jana anaomba nauli arudi
 
 
Kilichokuponya na maumivu sio muda bali ni hatua uliyochukua ya kubadilisha FIKRA zako, maumivu mengi yanatoka kwenye FIKRA na tiba ya maumivu kubadilisha FIKRA juu ya kitendo kinachokuletea maumivu, hata ipite miaka 7 pasipo kubadili FIKRA hauwezi jiponya leo kuna watu imepita miaka 7 lakini wanamaumivu yaleyale kama yametokea leo ila wewe umeshinda kwa kuamua kubadilisha FIKRA zako.
 
😂😂😂Sema mwanangu kwenye mapenzi ukiwa mgeni utanyooshwa sana tena ukute unamdate pro
Bora umdate pro atleast huyo anafanya makusudi kwa kujua kuliko kudate anaeanza, wanafanyaga vitu bila kujua madhara yake na hawajali lolote mpaka yawafike.
 
Bora umdate pro atleast huyo anafanya makusudi kwa kujua kuliko kudate anaeanza, wanafanyaga vitu bila kujua madhara yake na hawajali lolote mpaka yawafike.
Anaeanza nafuu unaweza kumuelekeza baadhi ya vitu hata Kwa bed unakua kama Aziz ki unacheza huku unatoa maelekezo
 
Mi nlikuwa mgeni kwenye field ila yy alishakua mzoefu ndo maana aliniwin, saivi sihangaiki sana akienda na beats nacheza nae tukishindwana bas
Au ulikuwa na fikra za mawazo ya mapenzi ya kwenye telemundo?
 
Sisi wenginee nyimbo ya Diamond platinum “SIKOMI” inasadifu maisha yetu ya mahusiano

Maana ukiumizwa unasahau unaenda kwingine unaumizwa unasahau tena

Mimi mahusiano yamenishindaa bora nipike makande
Oya niletee basi makande nile maana wengine sie hatujui na hatujawai kupenda
 
Hope you're doing great,.

Sometimes hadi naogopa mapenzi nikisomaga visa vya kuumiza
 
Hatuachi kupenda hadi yatuue...kata mti panda mti
Ila umeona raha ya pesa..imagine mtu kanuna halafu hauna hela unamtegemea kwa kila kitu
So hapa chamsingi ni kitafuta tu hela maana mapenzi yanaweza kukufanya vibaya pesa inakufariji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…