Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Huu uzi mmeufumua tena wa mwaka juz๐ญ๐ญ๐ญ๐ญUkiona mtu anaandika andika sana kuwa ame move on, huwa inatia mashaka.
Ni sawa na mgonjwa anapowata moyo waliomzunguka ,utasikia "aahh mimi mbona nimepona ,hapa nishapona kabisaa" ila kwa macho yetu sisi tunaona badoo.
Kwakifupi masai dada hujapona, ila hivyo cancer yako ya mapenz imeingia stage 2. Hujapona dada angu, sijui kwanini naona hiv
Oohh mi nikajua ni wa karibuni.Huu uzi mmeufumua tena wa mwaka juz๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Bas mimi niko kwenye period ya kuteketea, yan moyo unawaka moto balaa. Nimenyooshwa haswa na bado hata ku recover sijaanza.Muda unaponya mengi sana, pia ukiitambua thamani yako ni sababu kubwa ya kupona.
Endelea kuishi maisha yako Malkia wa nguvu. Kadri muda utavyosonga ndivyo unaendelea kupona zaidi.Huu uzi mmeufumua tena wa mwaka juz๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Bas mimi niko kwenye period ya kuteketea, yan moyo unawaka moto balaa. Nimenyooshwa haswa na bado hata ku recover sijaanza.
Muda i hope utaniponya tu
AiseeEndelea kuishi maisha yako Malkia wa nguvu. Kadri muda utavyosonga ndivyo unaendelea kupona zaidi.
Jambo zuri ukishapona umepona hata ukiingia kwenye mahusiano mengine unakuwa huna kimuhemuhe tena.
Imenichukua miaka 4 kufikia uponyaji, muda ni tabibu mzuri kama usemavyo.
Mapambano yaendelee ๐ชAisee
Amini katika muda
Mimi nilikua hoi bin taabani siwezi kazi siwez chochote
Ila now nipo strong zaidi ya sana
Muda ni tiba
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Ila jfMuda unasahaulisha maumivu ila haufuti donda la maumivu.
Pambana na hali yako
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Agreed ๐ฏni suala la muda huu utatengua kauli yako mapenz hayana formula.
Mambo AaliyahYan hakuna icho kitu kwakweli
Watu hawafanani na upendo haufanani nilisema na nilimchana x wangu kuwa kuniumiza hakunifanyi nitesek Wala nichukue mapenz nikipata mwingine nitampenda had achanganyikiwe na nitapendwa sana tu
Now anahangaika tu
Nimechagua kuwa positive
Thubutuuu ๐คฃMi kwenye haya nlikuwa mshamba sana nlikuwa najua mkipendana hamna kuachana, hamna kusalitiana hamna kuumizana๐๐๐kumbe
Mimi Nina week sasa tangu tugombane rasmi na block nimemtwanga Juu , vita Baridi yetu tangu Ianze now inafika mwezi ,Kuna Mimi Leo siku ya 4 sijawasiliana Na mtoto wa mama mkwe najipa Moyo yeye sio uzima wangu
Ni kisanga ๐ฎ๐ฎ๐Mapenzi tunayapenda Ila
Najua sitaoelewa tena
I dedicate my life to my kids
Ila ikitokea nikawa na mpenzi i will be extra careful nisimuumize
Kama siwezi ni bira kuondoka kuliko kumuuumiza mtu in one way or another
Miyeyusho sanaShifa innanza ukiwa mwema Sana Kwa MTU ukampenda Sana Na ukamuonesha unampenda Yan badala ya. Kuappreciate Upendo anaanza kukutesq
Poa mamboMambo Aaliyah
Safi Mamaa ,Poa mambo
Wee katili sanaNi kwl tuwape muda aisee,,yupo mtoto mmoja wa chuo aliniumiza moyo wangu balaa,,hata akanibwaga kikatili sn.
Nilimpa muda ili aende anapotaka,, ila kwa sasa anajutia ndoa yake huko alipo,,amenitafuta na amerudi kwangu tena namgegeda ninavyotaka ,,
Tena bure hata kumi simpi dadeki zake. ๐๐๐.