Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

Ukiona mtu anaandika andika sana kuwa ame move on, huwa inatia mashaka.
Ni sawa na mgonjwa anapowata moyo waliomzunguka ,utasikia "aahh mimi mbona nimepona ,hapa nishapona kabisaa" ila kwa macho yetu sisi tunaona badoo.

Kwakifupi masai dada hujapona, ila hivyo cancer yako ya mapenz imeingia stage 2. Hujapona dada angu, sijui kwanini naona hiv
 
Huu uzi mmeufumua tena wa mwaka juz😭😭😭😭
 
Huu uzi mmeufumua tena wa mwaka juz😭😭😭😭
Endelea kuishi maisha yako Malkia wa nguvu. Kadri muda utavyosonga ndivyo unaendelea kupona zaidi.

Jambo zuri ukishapona umepona hata ukiingia kwenye mahusiano mengine unakuwa huna kimuhemuhe tena.

Muda ni tabibu mzuri kama usemavyo.
 
😂😂 Aiseee!! Mapenzi yaheshimiwe. Maskini wanalia wenye pesa wanalia. Ni tafrahi.
Bas mimi niko kwenye period ya kuteketea, yan moyo unawaka moto balaa. Nimenyooshwa haswa na bado hata ku recover sijaanza.
Muda i hope utaniponya tu
 
Endelea kuishi maisha yako Malkia wa nguvu. Kadri muda utavyosonga ndivyo unaendelea kupona zaidi.

Jambo zuri ukishapona umepona hata ukiingia kwenye mahusiano mengine unakuwa huna kimuhemuhe tena.

Imenichukua miaka 4 kufikia uponyaji, muda ni tabibu mzuri kama usemavyo.
Aisee
Amini katika muda
Mimi nilikua hoi bin taabani siwezi kazi siwez chochote
Ila now nipo strong zaidi ya sana
Muda ni tiba
 
Yan hakuna icho kitu kwakweli
Watu hawafanani na upendo haufanani nilisema na nilimchana x wangu kuwa kuniumiza hakunifanyi nitesek Wala nichukue mapenz nikipata mwingine nitampenda had achanganyikiwe na nitapendwa sana tu
Now anahangaika tu

Nimechagua kuwa positive
Mambo Aaliyah
 
Kuna Mimi Leo siku ya 4 sijawasiliana Na mtoto wa mama mkwe najipa Moyo yeye sio uzima wangu
Mimi Nina week sasa tangu tugombane rasmi na block nimemtwanga Juu , vita Baridi yetu tangu Ianze now inafika mwezi ,

Yaani niliamua kutulia kwaajili yake but akaniona boya , nimeamua Tu kurudi kuwa Malaya , kuwa na mpenzi mmoja ni scamm 🤣🤣
 
Kumpata mpenzi mwenye Akili hii ni Raha sana
Najua sitaoelewa tena
I dedicate my life to my kids

Ila ikitokea nikawa na mpenzi i will be extra careful nisimuumize
Kama siwezi ni bira kuondoka kuliko kumuuumiza mtu in one way or another
 
Ni kwl tuwape muda aisee,,yupo mtoto mmoja wa chuo aliniumiza moyo wangu balaa,,hata akanibwaga kikatili sn.

Nilimpa muda ili aende anapotaka,, ila kwa sasa anajutia ndoa yake huko alipo,,amenitafuta na amerudi kwangu tena namgegeda ninavyotaka ,,
Tena bure hata kumi simpi dadeki zake. 😁😁😁.
 
Wee katili sana
 
Back
Top Bottom