Ewee mwenyezi mungu tusaidie sisi wapanda bodaboda

Ewee mwenyezi mungu tusaidie sisi wapanda bodaboda

Moto unaweza sabababishwa na sparks au labda tank la mafuta lilikuwa na joto sana
Ndomana sheria ipo na inakataza
Daladala likiwa na abiria kuingia kituo cha mafuta kujaza likiwa ndani na abiria

Ova
Thanks...hii ya daladala kutoingia na abiria kituo cha mafuta haifuatwi kabisa naona
 
Back
Top Bottom