Mjomba side
Member
- May 3, 2024
- 72
- 96
Chukua tahadhariUsitutishe
InatishaDuh! Aisee π€
Moto unaweza sabababishwa na sparks au labda tank la mafuta lilikuwa na joto sanaAisee hapo sababu inaweza ikawa nini wazoefu ?
Thanks...hii ya daladala kutoingia na abiria kituo cha mafuta haifuatwi kabisa naonaMoto unaweza sabababishwa na sparks au labda tank la mafuta lilikuwa na joto sana
Ndomana sheria ipo na inakataza
Daladala likiwa na abiria kuingia kituo cha mafuta kujaza likiwa ndani na abiria
Ova
Bora hako katoto kameponaEe Mungu tusaidie.
Tunaishi sana kwa mazoeaThanks...hii ya daladala kutoingia na abiria kituo cha mafuta haifuatwi kabisa naona