EWURA: Bei ya Mafuta itaendelea kupanda

Ndiyo mpaki vyombo vyenu vya moto tu

Ova
 
Ubaya mmoja wafanyabiashara wameshapewa go ahead na security kutoka kwa mkuu wa nchi.

Mafuta yakipanda , kila kitu kitapanda, na hakuna kiongozi anayejali
Na anachochea kila siku kuhisu kupanda kwa bidhaa
 
Sasa kama Rais kesha sema kila kitu kita panda bei EWURA wao ni nani wasi igize maneno ya Rais??
 
Haya majinga yana kera sn
 
Wahurumie hata kwa kutoa sbb kwann hii vita imefanya hii bidhaa ipande ukizingatia urusi sio supplier pekee mkubwa wa mafuta nchini
 
kwa nini wasimuige India kununua moja kwa moja kutoka Russia kwa discount
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…