EWURA na bei elekezi za mafuta

georgeallen

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
4,118
Reaction score
1,875
Tangu Haruna Masebu astaafu bei elekezi ya mafuta ya petroli zimekuwa zikipanda kila mwezi licha ya bei ya mafuta kwenye msoko ya dunia kushuka.

Je, hii ina maana kwamba waliobaki wanafahamu tu kupandisha bei au Masebu aliondoka na ile formula ya kukokotoa bei elekezi?

 
Unazani nn kilimuuws boss wa ewura??? mi sio
 

No. Tuna import kwa dolza Kimarekani na tunauza mafuta kwa shilingi. Kama umekuwa unafuatilia kwa ukaribu, shilingi imekuwa ikishuka bei tangu mwezi Machi 2014. Kwa maana hiyo lazima mafuta yapande bei, kutokana na kushuka thamani kwa shilingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…