georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
Tangu Haruna Masebu astaafu bei elekezi ya mafuta ya petroli zimekuwa zikipanda kila mwezi licha ya bei ya mafuta kwenye msoko ya dunia kushuka.
Je, hii ina maana kwamba waliobaki wanafahamu tu kupandisha bei au Masebu aliondoka na ile formula ya kukokotoa bei elekezi?
Je, hii ina maana kwamba waliobaki wanafahamu tu kupandisha bei au Masebu aliondoka na ile formula ya kukokotoa bei elekezi?