Ewura na bei elekezi

Ewura na bei elekezi

BUBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
845
Reaction score
254
Ni Siku ya pili leo tangu ipite ile tarehe tuliyoahidiwa kupata neema ya punguzo la bei ya mafuta. Ni jambo la kuchefua kuona kuwa, mara tu baada ya serikali kutangaza kupitia kwa waziri wa fedha kuhusu kodi za mafuta. Jambo linalosikitisha na KUNITIA WAZIMU ni kwamba tarehe mosi Julai wauzaji wa mafuta walipandisha bei ya mafuta ya taa! Sina hakika kama hawa wauzaji walikuwa wameingiza consignment iliyotozwa kodi mafuta ya taa kulingana na bajeti ya mwaka 2011/12. Sasa hadi leo hii inashangaza kuona kuwa wauzaji hao hawajapunguza mafuta ya petrol na diesel. Swali la msingi hapa ni je EWURA, TRAs na serikali kwa ujumla hawaoni huu ni uhuni? Angalizo: Mods tafadhali msiitoe hii topic
 
kwa kweli hii serikali utadhani inaongozwa na watoto wadogo. yani ni uwongo uwongo tuu, yule wa bot eti uchumi mpana unakua hawa wa ewura na bei elekezi zao na upupu mtupu, wanatudanganya bei zitashuka huku zinapanda yaani hakuna lolote wanachofanya. wananchi hasira zimetujaa nchi inaonekana imewashinda wasitufanye wananchi tuchukue maamuzi magumu!!!
 
EWURA nakiona kama kichaka cha wezi kinachotuibia kwa jina la 'tupo kwa mujibu wa sheria' maamuzi yao ni ya kijinga na ukianza na lilel la kuzuia vidumu na kuongeza bei ya mafuta ya taa
 
Wapumbavu sana hawa kwa nini hiki kitengo kisifutwe tu?maana hakuna kazi wanayofanya zaidi ya kula kodi zetu bule,jamani tutakaaa hivi mpaka lini?#-+@!(?6_/! Damn.
 
Get your politics right guys kabla ya kuanza kupiga kelele,tatizo ni serikali mbovu tuliyokuwa nayo na mfumo mbovu wa uwajibikaji,Tubadilishe mfano wa uendeshaji wa nchi na kuweka serikali imara ndo tuanze kupiga kelele
 
phuck EWURA eti wamepunguza petroli kwa mia mbili
 
Back
Top Bottom