K khan arif New Member Joined Jan 11, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Jan 11, 2014 #1 Bei ya gesi imepandishwa sana kiasi kwamba kwa mtumiaji inkua ngumu kununua. Maana ya kutumia gesi ni kuokoa nchi yetu Tanzania kwa kukata miti ovyo. Ili watu waweze kununua gesi badala ya mkaa.
Bei ya gesi imepandishwa sana kiasi kwamba kwa mtumiaji inkua ngumu kununua. Maana ya kutumia gesi ni kuokoa nchi yetu Tanzania kwa kukata miti ovyo. Ili watu waweze kununua gesi badala ya mkaa.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 166,767 Reaction score 705,461 Jan 11, 2014 #2 Gas ishushwe bei,ghali sana