Ewura punguzeni bei ya gas.

Ewura punguzeni bei ya gas.

khan arif

New Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Bei ya gesi imepandishwa sana kiasi kwamba kwa mtumiaji inkua ngumu kununua. Maana ya kutumia gesi ni kuokoa nchi yetu Tanzania kwa kukata miti ovyo. Ili watu waweze kununua gesi badala ya mkaa.
 
Back
Top Bottom