EWURA: Taarifa kwa umma kuhusu bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia 1 Desemba 2021

Majizi tu
 
Kama vipi turudi kwenye uchaguzi au tulete katiba mpya ile ya warioba.......bongolala is doomed.
 
Ukiwa na kigari chako old model kinachokunywa mafuta unaweza kipark. Maana mafuta ya elfu 10 hata kuwaka hakiwaki
Ya kwangu kwa sasa inafakamia gesi, na kwenyewe ewura hawachelewi kuleta tozo zinazoongezeka kila mwezi.
 
Muacheni mama apige kazi! Sukuma gang mnalalamika sana 😅😅😅 sie wa Msogani hatuumii na bei elekezi yapande mpaka yafike 50,000 per litre! Tuna fedha za kutosha 😅
Huko msoga amtumii bei elekezi au nyie mnaoiendesha biashara ya mafuta mtakavyo hapo TZ
 
Ukisoma comment nyingi utagundua watanzania wengi ni nonsense kabisa.
Bei ya mafuta ikipanda kwenye soko la dunia imekuwa influenced kivipi na serikali?

Je serikali iondoe tozo kwenye mafuta pindi yanapopanda bei huko duniani ili kuwafurahisha wananchi lakini ishindwe kutekeleza miradi kama REA na TARURA?
Wewe mtanzania mpumbavu hutaki tozo kwenye nafuta, hutaki kwenye miamala ya simu, hutaki kwenye income-tax, unategema serikali itajiendeshaje?na ni Wewe ukipita kwenye barabara mbovu unalalamika
Rais akalime ahudumie nchi?

Ni maoni yangu kwamba kwa mchakato ulioanzishwa sasa wa uagizaji unaleta unafuu kuliko ule wa makampuni binafsi. Hivyo bila ushabiki serikali inahitaji pongezi. Mafuta yanapopanda duniani hatuna cha kufanya zaidi ya kujifunza kuishi kwenye mfumo huo wa kibepari
 
Pamoja na yote hayo bei ya bia bado iko juu sana sana sana.
 
Ila mafutq kwenye soko la dunia yameshuka toka mwezi huu mwanzoni, sikuona sababu ya kusubiria january
Halafu kuna nia ovu ya wauza mafuta inawezekanaje makampuni yote bei iwe karibu sawa kwa wakati mmoja? Au hizi kampuni ni za mtu mmoja?
 
Muacheni mama apige kazi! Sukuma gang mnalalamika sana [emoji28][emoji28][emoji28] sie wa Msogani hatuumii na bei elekezi yapande mpaka yafike 50,000 per litre! Tuna fedha za kutosha [emoji28]
Usiseme hivyo banaa Wengine gari zetu Cc.2360 yapungue tuu jamani
 
Aliokwambia wakiondoa tozo miradi haifanyiki ni nani? Ufanisi wa hio miradi toka hela ilipoanza kukusanywa mpaka sasa ukoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…