RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Ng'ombe haelemewi na nundu hata siku moja...na bei hii hii wiki chache zijazo utaona foleni kuelekea kaskazini!Ahahahah kuna 3.5m mfukonwa shati naisubiria ile Crown yetu mzee😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ng'ombe haelemewi na nundu hata siku moja...na bei hii hii wiki chache zijazo utaona foleni kuelekea kaskazini!Ahahahah kuna 3.5m mfukonwa shati naisubiria ile Crown yetu mzee😅
😅😅😅😅😅😅Ng'ombe haelemewi na nundu hata siku moja...na bei hii hii wiki chache zijazo utaona foleni kuelekea kaskazini!
Nchi gani?usikute ni uarabunu ambapo dola ipo chini.Magufuli alizaliwa na kuikuta Tanzania na amekufa na kuiacha Tanzania hakuna mtu mkubwa zaidi ya Tanzania yenyewe muendeele kumkumbuka tu.
Halafu mko uchumi wa kati why lita moja kwa 0.97 $ iwashide? Huku tunanunua hadi 1.99$ kwa lita
Na gas station zenu naona zinajengwa kama njugu,mzee mosha nae siku sehemu za kula bata akosekaniHahahahah elekezi haina shida tuna matenki ya kutosha kurasini😅
UongoMbona wakati wa jiwe hajafa petrol tuliuziwa chini ya 2000 kwa muda wote..
Tena mwaka huu kabla jiwe hajafa petrol ilikuwa 1800
Ha ha ha Utakuwa unanijua Wewe I salute you Mkuu[emoji23][emoji23]Hahahahahah we si ulimshabikia mama anaupiga mwingi[emoji28] utakoma kuringa na harrier yako matako ya nyani[emoji28]
We ni muhooooniMuacheni mama apige kazi! Sukuma gang mnalalamika sana [emoji28][emoji28][emoji28] sie wa Msogani hatuumii na bei elekezi yapande mpaka yafike 50,000 per litre! Tuna fedha za kutosha [emoji28]
Bora wewe umeagiza unaweza kuuza..tatizo ambao tushazoea halafu tuna yale dizaini za majini😀 gari zingine sio, utadhani zina ubia na ewura kwa kunywa weseDuuuh nmeagiza gari, ila kwa bei hizi za mafuta nimepigwa Ganzi Nzito Saaana.
Na mbandooo yani afadhali ya janaMaghayo kumekucha huku
Sawa wazee wa ESCROWMuacheni mama apige kazi! Sukuma gang mnalalamika sana [emoji28][emoji28][emoji28] sie wa Msogani hatuumii na bei elekezi yapande mpaka yafike 50,000 per litre! Tuna fedha za kutosha [emoji28]
Gesi leo ya kununua 58,000/- (Oryx) na 52,000/- (mian)..!!! TutakomaMuacheni mama apige kazi! Sukuma gang mnalalamika sana 😅😅😅 sie wa Msogani hatuumii na bei elekezi yapande mpaka yafike 50,000 per litre! Tuna fedha za kutosha 😅
Somaa hiyooooooView attachment 2029694