Hahahahahaaaaa dogo kobazKesho baba EWURA tunakuomba utuvushe sisi wauza mafuta kuanzia vituo vya mafuta mpaka wauza vidumu
Tunakuomba upige kwenye mshono kwa pigo takatifu hii itasaidia kupanda kwa bei za usafiri na bidhaa ili tuweze kujipatia faida juu ya faida.
Kwa wale washangiliaji, mtakatifu Trump amewasikia vilio vyenu, sasa jiandaeni kula ugali kwa chumvi, chapati za karatasi na mazoezi ya kutembea umbali mrefu
Ameen.
Seranna utelezi utapanda kutoka buku tano mpaka 10k
Umekunywa gongo?Tanzania ni kichaka cha wapumbavu
Ni anaropoka leo🙌🏾Umekunywa gongo?
Yaan km chizi karogwa tena sijui kanywa gongo ya wapi leo ni kuropoka ropokaNi anaropoka leo🙌🏾
Buku tano, utakuwa unakula vitope vya buza weweWaongeze jero tu, mchele utafika buku 4 na unga buku bee kwa kg na ruti fupi ya boda itaanzia buku 2 na utelezi utapanda kutoka buku tano mpaka 10k
naam ni keshoHaya kesho ni Jumatano nyingine ya kwanza ya mwezi 4, tunaenda kushuhudia vilio vya kutosha
View attachment 3565299
Naam ni kesho kwenye siku ya wajinga dunianinaam ni kesho