Toa eneo onyesha wapi pa kuchimba, leta vifaa wakabidhi wasomi watachimba mboni mchanga na kokoto wanachimba kule machimboni? Ila yatapatikana mafuta machafu kwa hio andaa gharama za kuyasafishaInabidi wasomi wetu watusaidie kuchimba mafuta
Kuna fani zinatolewa huko vyuoni, mambo ya gas na mafuta, vitendo hatuvioni au ni kwenye makaratasi tu?Toa eneo onyesha wapi pa kuchimba, leta vifaa wakabidhi wasomi watachimba mboni mchanga na kokoto wanachimba kule machimboni? Ila yatapatikana mafuta machafu kwa hio andaa gharama za kuyasafisha
Mwigulu ndio Waziri Mkuu, mzee wa 'hamieni Burundi, mkanunue mafuta kwa bei rahisi'. Hivi akaunti yake humu aliifuta? Kipindi ametolewa uwaziri na Magu nakumbuka alikuja humu kujieleza elezaDah! Na nimebania mafuta toka last week nikitegemea week hii yatashuka hata kwa angalau 500 maana huko duniani bei imeshuka kabisa, kumbe wala nchi nao walikuwa wanasubiri wapandishe 😂
Nchi ina bandari lakini kama mwananchi huwezi kujivunia kwasababu badala ipunguze ukali wa bei wa vitu tunavyoimport, yenyewe ndo inaongeza
Kusema kweli nilitegemea 3200+3400 mwishoDah! Na nimebania mafuta toka last week nikitegemea week hii yatashuka hata kwa angalau 500 maana huko duniani bei imeshuka kabisa, kumbe wala nchi nao walikuwa wanasubiri wapandishe 😂
Nchi ina bandari lakini kama mwananchi huwezi kujivunia kwasababu badala ipunguze ukali wa bei wa vitu tunavyoimport, yenyewe ndo inaongeza
Rwanda???? Rwanda ipi mi niko Rwanda mFuta bei karibu mara mbili ya hukoHatari sana.kule Rwanda,burundi na uganda ambako wanapitisha mafuta yao Tanzania yana bei ndogo kuliko hapa kwetu.Kuongozwa na mmama kama sa100 ni hatari sana.october 29 lazima kinuke.
Baadae utaona wakitangaza ufanisi wa bandari kuongezeka ila Wananchi wakipata tabu kama vile ni land locked county.Dah! Na nimebania mafuta toka last week nikitegemea week hii yatashuka hata kwa angalau 500 maana huko duniani bei imeshuka kabisa, kumbe wala nchi nao walikuwa wanasubiri wapandishe 😂
Nchi ina bandari lakini kama mwananchi huwezi kujivunia kwasababu badala ipunguze ukali wa bei wa vitu tunavyoimport, yenyewe ndo inaongeza