Hatua zinazochukuliwa na EWURA kupandisha bei ya mafuta kila wiki kwa sh. 300 hadi 500 zaweza kuwa ni baraka tusiyoitarajia
Hatua kama hizi ziliweza kuleta mabadiliko ya fikra na uongozi katika baadhi ya mataifa, tuwaache waendelee hadi kikombe kijae..
Kuna mambo yanaendelea katika nchi hii hatuwezi kuuona mwisho wake kwa macho ya kawaida; kutoka kifo cha rais jeuri na sasa rais mpole lkn out of touch na hali halisi ya maisha ya watu huku uraiani
Na uzuri EWURA hawana kazi nyingine wanayofanya zaidi ya kutangaza tu kupanda kwa bei za mafuta na kulipana posho na mishahara minono
Muda ni mwalimu mzuri