Nakuunga MkonoNatamani bei ya petrol ifike Tsh. 20000/- kwa lita kabla ya December mwaka huu itapendeza zaidi
Makodi yote haya kwa kila lita moja ya mafuta, ya nini!Hatua zinazochukuliwa na EWURA kupandisha bei ya mafuta kila wiki kwa sh. 300 hadi 500 zaweza kuwa ni baraka tusiyoitarajia
Hatua kama hizi ziliweza kuleta mabadiliko ya fikra na uongozi katika baadhi ya mataifa, tuwaache waendelee hadi kikombe kijae..
Kuna mambo yanaendelea katika nchi hii hatuwezi kuuona mwisho wake kwa macho ya kawaida; kutoka kifo cha rais jeuri na sasa rais mpole lkn out of touch na hali halisi ya maisha ya watu huku uraiani
Muda ni mwalimu mzuri
Mada yako ilikuwa nzuri lkn ulipotaja jina la jiwe tu ukaiharibu. Hakuna uhusiano wowote wa kuongezeka kwa bei ya mafuta na kubadilika kwa kiti cha urais. Unless Kama una elements za sukuma gang ndiyo utaona hivyo.Kuna mambo yanaendelea katika nchi hii hatuwezi kuuona mwisho wake kwa macho ya kawaida; kutoka kifo cha rais jeuri na sasa rais mpole lkn out of touch na hali halisi ya mais
Nimekupata uzuri sanaHatua zinazochukuliwa na EWURA kupandisha bei ya mafuta kila wiki kwa sh. 300 hadi 500 zaweza kuwa ni baraka tusiyoitarajia
Hatua kama hizi ziliweza kuleta mabadiliko ya fikra na uongozi katika baadhi ya mataifa, tuwaache waendelee hadi kikombe kijae..
Kuna mambo yanaendelea katika nchi hii hatuwezi kuuona mwisho wake kwa macho ya kawaida; kutoka kifo cha rais jeuri na sasa rais mpole lkn out of touch na hali halisi ya maisha ya watu huku uraiani
Muda ni mwalimu mzuri
Hata ingekuwa chadema ama chama chochote kingine cha siasa ndiyo kilo madarakani kwa sasa bei zingepanda tu. Acha kutafuta uchochoro mfu wa kufanya siasa.CCM bila kuondoka, tutachoka sana
Acha kusifia ujingaNimekupata uzuri sana
Hatuna vyanzo vingine mbadala vya kodi na serikali inaendeshwa kwa kodi. Ulitaka ifanye nn sasa?Makodi yote haya kwa kila lita moja ya mafuta, ya nini! View attachment 2211246
Maneno tu ya shibe haya. Watanzania hatuna hulka hiyo. Tunaelewa nn kimepelekea bei za mafuta kupanda.Watapata Ulinzi Soon
Kama unawaza hivi. Peleka hilo fuvu hospitali wakaangalie kama kuna ubongo ama kuna topeKwa hyo gavo inafanya kutunyoosha
NakaziaKila kitu kitapanda. Mama samia.
Hakuna namna. Maana tumepatwa na janga. Cha ajabu nn hapo? Mama Samia asilaumiweKila kitu kitapanda. Mama samia.
Ushampikia bwanakoKama unawaza hivi. Peleka hilo fuvu hospitali wakaangalie kama kuna ubongo ama kuna tope
CCM ndo main desease. Tumeweka viraka zaidi ya miaka 50, Tubadili chama bas, Wala Si jambo geni, Afrika nzima vimebaki viwili kama ckoseiHata ingekuwa chadema ama chama chochote kingine cha siasa ndiyo kilo madarakani kwa sasa bei zingepanda tu. Acha kutafuta uchochoro mfu wa kufanya siasa.
Tafuteni hoja mbadala za kudumu zitakazowatofautisha wapinzani na chama tawala. Siyo kutegemea matukio.
Vita ya Ukraine ikimalizika na bei za mafuta zikashuka mtasema nn? Wanasiasa wa aina yako siwapendi sana