Watu wa mtara vip maana sio poaMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza rasmi bei mpya kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, zikionyesha nafuu kubwa kwa wananchi kuanzia LEO Jumatano, Tarehe 05 Agosti 2026 saa 6:01 usiku.
Katika mabadiliko hayo ya mwezi Agosti, bei za mafuta zimeshuka nchinzima kutokana na mwenendo wa bei katika soko la dunia:
Petroli: Imeshuka kwa TZS 92 kwa kila lita.
Dizeli: Imeshuka kwa TZS 204 kwa kila lita.
Mafuta ya Taa: Yameshuka kwa TZS 440 kwa kila lita.
View attachment 3643462View attachment 3643463
Watakaofaidi hapa ni watu wa dar tu92 ndio nini
Upumvavu mtupu.
Shusha 500, nk
well done EWURA 💪Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza rasmi bei mpya kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, zikionyesha nafuu kubwa kwa wananchi kuanzia LEO Jumatano, Tarehe 05 Agosti 2026 saa 6:01 usiku.
Katika mabadiliko hayo ya mwezi Agosti, bei za mafuta zimeshuka nchinzima kutokana na mwenendo wa bei katika soko la dunia:
Petroli: Imeshuka kwa TZS 92 kwa kila lita.
Dizeli: Imeshuka kwa TZS 204 kwa kila lita.
Mafuta ya Taa: Yameshuka kwa TZS 440 kwa kila lita.
View attachment 3643462View attachment 3643463
Sio samia?well done EWURA 💪
Hata 500 bado ndogo washushe hata 1500 kwasasa mtaani hali sio poa.92 ndio nini
Upumvavu mtupu.
Shusha 500, nk
Hivi kupunguza sh. 100 ama 90 unaweza kujigamba hadharani kwamba umepunguza bei ili kuboresha maisha ya watu na hatua kali zichukuliwe kwa watakaokaidi!Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza rasmi bei mpya kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, zikionyesha nafuu kubwa kwa wananchi kuanzia LEO Jumatano, Tarehe 05 Agosti 2026 saa 6:01 usiku.
Katika mabadiliko hayo ya mwezi Agosti, bei za mafuta zimeshuka nchinzima kutokana na mwenendo wa bei katika soko la dunia:
Petroli: Imeshuka kwa TZS 92 kwa kila lita.
Dizeli: Imeshuka kwa TZS 204 kwa kila lita.
Mafuta ya Taa: Yameshuka kwa TZS 440 kwa kila lita.
View attachment 3643462View attachment 3643463
Ni ewura kweli?Eura ni washezi sana..