EWURA yatangaza Bei Kikomo za Mafuta kwa Mwezi Agosti, yamepanda tena

Tunayo gesi ya kutosha ambayo tunaweza kutoa vibali kwa wafanyabiashara wakaanza kuweka vituo vya kujaza gesi kwenye magari, lakini tunaendelea kutwisha mzigo wananchi kwa bei kubwa za mafuta na gharama za maisha kupanda kisa kodi na tozo zinazokusanywa kwenye mafuta.......juzi kati madelu anataka kuweka tozo kwenye gesi ambayo hata mfumo wake haujawekwa rasmi, nchi hii inasikitisha sana...​
 
Haya mashirika ya kipuuzi sana , mafuta au bidhaa zikishuka bei huko duniani wala hawatoi tamko la kupunguza bei. Ila yakipanda kidogo wao ni mstari wa mbele kupandisha bei.
Hawawezi kupunguza bei hawa
 
Kinacho umiza zaidi ni kununua mafuta bei sawa na nchi ya uganda wasio kua na bandari.....
Tena bora mlalamikie chinichini, sababu mkipiga makelele mtamponza kwa kumsababishie mwananchi mwenzenu apotee au abakwe matakoni ili story zihamie kwenye tukio hilo la mtu kubakwa matrakoni ili hili lipite kimyakimya
 
Nchi ina viongozi WA hovyo Sana gharama za maisha zinazidi kupanda wao wako Kimya tu ivi tuna watu kweli kwenye uongozi?Enzi za Magu mafuta tulinunua mpaka elfu 2 Leo hii Ni kilio Kwa watanzania alafu eti tuna viongozi duuh
Mtanikumbukagaa tu mtake msitake!!
 
Hapana. Mimi nadhani siyo viongozi Bali taifa lina wapiga kura wa hovyo sana.

Nani amekwambia wanahitaji kura yako kushinda wale? Wale wanahitaji Dola tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…