Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kumbe na Sisi kuna watu wanatukumbuka...Tunaomba na "NAULI" ziongezwe ili wafanyabiashara wa mabasi wapate nafuu.
Ushaambiwa mabadiliko ya bei yanatokana na mabadiliko kwenye soko la dunia.Safi sana sasa wanyonge tuna enjoy maana bei ya mafuta imekua ndogo kama ya huko Saudia.
Asante kwa awamu ya 6.
Awamu ya 6 inamiliki visima vya mafuta vingi tu kule arabuni ndio maana wameweza kushusha bei ya mafuta mkuuUshaambiwa mabadiliko ya bei yanatokana na mabadiliko kwenye soko la dunia.
Awamu ya 6 inahusikaje hapa?
Na internet bando la 1GB walipandishe liwe Tsh.15,000 ili tuweze kupata kodi nyingi tujenge sgr kila wilaya na Ma Stigler's ya kutosha.Tunaomba na "NAULI" ziongezwe ili wafanyabiashara wa mabasi wapate nafuu, mwendo kasi nauli iwekwe 1,000/=. Na bidhaa zote zipande kwasababu usafiri utakua juu (Mfano: Sukari ipande kutoka 2,500/= mpaka 3,000/=... Cement itoke 19,000/= mpaka 25,000/=... Sigara itoke 200/= mpaka 400/=).
Ili wale kenge waliokua wanapiga kelele kuunga juhudi za Kaisari kusema yupo kusaidia wanyonge, akili ziwasogee.
Bado tuko awamu ya tano, awamu siyo uchaguzi tu Bali hutokana na badiliko la rais mfano angeshinda lisu ndio tungekuwa awamu ya sitaSafi sana sasa wanyonge tuna enjoy maana bei ya mafuta imekua ndogo kama ya huko Saudia.
Asante kwa awamu ya 6.
Awamu ya sita bado hatujafikiaAwamu ya 6 inamiliki visima vya mafuta vingi tu kule arabuni ndio maana wameweza kushusha bei ya mafuta mkuu
TUNATEKELEZA
Bado ni awamu ya tano ya sita hadi rais abadilikeUshaambiwa mabadiliko ya bei yanatokana na mabadiliko kwenye soko la dunia.
Awamu ya 6 inahusikaje hapa?
Achana na huyo mnyama asiyejitambua unapoteza muda wako bure mkuu!Ushaambiwa mabadiliko ya bei yanatokana na mabadiliko kwenye soko la dunia.
Awamu ya 6 inahusikaje hapa?
Cement kwetu tunanunua elf 22000 tangu january 2020 mpaka sasaTunaomba na "NAULI" ziongezwe ili wafanyabiashara wa mabasi wapate nafuu, mwendo kasi nauli iwekwe 1,000/=. Na bidhaa zote zipande kwasababu usafiri utakua juu (Mfano: Sukari ipande kutoka 2,500/= mpaka 3,000/=... Cement itoke 19,000/= mpaka 25,000/=... Sigara itoke 200/= mpaka 400/=).
Ili wale kenge waliokua wanapiga kelele kuunga juhudi za Kaisari kusema yupo kusaidia wanyonge, akili ziwasogee.
NB: Kuna tetesi mabeberu wanampango wa kuziomba nchi zinazotuuzia mafuta waache kutuuzia. Hapo lazima bei ya Petrol/Diesel ipande mpaka 15,000/= kwa lita moja.
Awamu ya sita?Safi sana sasa wanyonge tuna enjoy maana bei ya mafuta imekua ndogo kama ya huko Saudia.
Asante kwa awamu ya 6.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wale wanaccm wenzangu tutaendelea kununua Kwa bei Ile ya zamani hii bei mpya ni Kwa wapinzani Tu....tunawaomba ewura wapandishe bei kila mwez Ili wapinzani waache kutumia Magari Yao na waanze kutumia baiskel.