EWURA yatangaza bei mpya za mafuta, Petrol yapanda, Dizeli imeshuka

Maisha tambarare sana chini ya mwizi wa kura. Eti limesema litaongeza mishahara wakati wa kampeni, sasa lipo tena Ikulu kwa mabavu, hilo ongezo la mishahara sahau.
 
Wanaosema Bei za vitu zipande wahurumieni tu maana si kwa kushindwa vile.

Mfano mdogo tu ni pale unapopigwa ngumi nyingi lazima upoteze mwelekeo,
Hivi ndivyo inavyowatokea watu hawa!

Hata kama bidhaa zitapanda haitawasaidia walioshindwa maana uchaguzi Tanzania ulifanyika tar 28,
Matokeo yako wazi.

Savimbi (ni yeye) asante kwa kushiriki karibu tena.
 
Safi sana sasa wanyonge tuna enjoy maana bei ya mafuta imekua ndogo kama ya huko Saudia.

Asante kwa awamu ya 6.
Hakuna awamu ya sita bado. Hii ni awamu ya tano bado ila ni part 2.
 

ufipa mnapenda sana mawazo ya kichawi.
 
Nasikia vijana waliomaliza chuo wote watapata ajira...baada ya upinzan kushindwa kwenye uchaguzi.
 
Una akili mbovu mno bwashee hivi hua mnakua na sura gani mtu mzima unavyoandika utopolo kama huo so Sad aisee[emoji849]
 
Bado tuko awamu ya tano, awamu siyo uchaguzi tu Bali hutokana na badiliko la rais mfano angeshinda lisu ndio tungekuwa awamu ya sita
Mimi naongelea awamu ya '6' boss,siongelei awamu ya 5.
 
Mh!! Bei zinapanda taratibu...

Ila hii hutegemea na soko la kimataifa...




Cc: mahondaw
 
Wapandishe pote Ila wasiguse fegi tu jamaa yangu
 
Ngoja elon musk alete Tesla ili watu wachaji gari zao kwa solar.
 
Ushaambiwa mabadiliko ya bei yanatokana na mabadiliko kwenye soko la dunia.

Awamu ya 6 inahusikaje hapa?
Kwani tumeshafikia awamu ya sita ??

Daah, hizi Konyagi za hawa ndugu zetu hawa??

Halafu bila aibu watakuambia Lisu angekuwa Rais Mafuta yangekuwa bure.
 
kwa Trend za bei ya mafuta katika Soko la Dunia, Je tutarajie bei ya petrol hapa Tanzania kuanzia mwezi January 2021 kupanda au kushuka?

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…