EWURA yatangaza bei mpya za mafuta

"The shilingi mia effect"! Bajeti ikipitishwa tulikuwa busy na "Sadala".

Mama anaupiga mwingi[emoji23][emoji23][emoji23]
Anaupiga mwingi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alipopunguza kifurushi cha kupigia umbeya insta watu walichekelea sasa wacha Spana zinaendelee!!!
 
Ukiwa na gari unakuwa tayari tajiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo wengi wanaamini kua na gari wwe ni tajiri,wakati gari ni nyenzo tu Kama vile Jembe la mkono! Kwa kifupi gari nalo ni kitendea kazi na si alama ya utajiri!! Nilikutana na jirani yangu kwenye Mwendokasi,basi waacha aanze kuniuliza maswali tena kwa sauti,"Jiraani gari umeaacha wapi!? au mbovu',mi nikabaki na jichekesha tu,lakini aliniuuzi sana! Kwani mtu ukiwa na gari ndiyo hurusiwi kutumia public transport!?
 
Hii ni mabadiliko ya kila mara ambapo bidhaa hupanda na kushuka kulingana na bei ya soko. pia endapo uchumi utaimarika tutarajie kushuka kwa thamani ya bidhaa hizo.
 
Haina shida mwezi wa 10 yatashuka sana...tuvumilie tuu hii miezi mitatu.
 
Nimecheka sana..coz hili swali nakumbana nalo[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila usifikiri mtanzania anakuuliza hivyo kwa kukupenda anauliza hivyo ili ajue kama limepata matatizo roho yake isuuzike

Mimi jibu langu ni moja " nimeuza" haulizi tena maana anajua namzingua
 
Kimsingi kwa hali ya uchumi wetu hii ndio ilitakiwa iwe bei ya wese nchini ili tufurahie kama wenzetu hapo kwa mzee Bidden
Wamarekani ni wenzako??[emoji1787][emoji1787][emoji23]

Unaumwa nini
 
Mfumuko wa bei unakuja kwa kasi.

Bei ya vitu vingi lazima ipande.
 
Ewura ni janga kwa Taifa, bora ifutwe tu! Si imeanza juzi tu kiujanja2 kabla yake tuliishi vizuri tu! Waafrika bana ndiyo maana tunapigwa vita hata kujiongoza hatuwezi! Poor afrcs
 
Ewura ni janga kwa Taifa, bora ifutwe tu! Si imeanza juzi tu kiujanja2 kabla yake tuliishi vizuri tu! Waafrika bana ndiyo maana tunapigwa vita hata kujiongoza hatuwezi! Poor afrcs
Ewura Imeanza Lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…