Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Zitauzwa miliom 4Toyota Brevis!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitauzwa miliom 4Toyota Brevis!
... ninyi mko exempted Mkuu!Sisi mataga tutauziwa kwa bei hiyo!??
Na hapa pia sijakuelewa, maana huku porini kwetu hiyo bei hakunaUtaelewa siku utakapoliacha gari lako uwani 😂
We ni muongo mkubwaYes, US wao wanachimba crude oil na kuifanyia refinery ndio maana wametuzidi kiasi...
Mfano nchi nyingi za Ulaya zimetuzidi kipato na bado bei za mafuta ni mara mbili zaidi ya hapa kwetu, mfano nchi kama Italia mafuta ni aghali kidogo...
Venezuela ndio nchi yenye kuwauzia raia wake mafuta bei chee kwa wastani wa 0.02USD...
Ile crude ya Uganda ingewezekana kuisafisha hapa hapa East Africa, tungeula sana
Bongo hii ukiona mtu ana kigari usifikiri ana hela. Tanzania watu bado choka mbayaUkiwa na gari uwe na uwezo
Kweli. Na kusiwepo na adhari yoyote kutokana na mabadiliko hayo. Wenye vyombo vya usafiri mzingatie hayo !Kama zinavyoshuka huwa tunafurahia
Zikipanda pia tuvumilie.
Women Should Never Lead Men in all Spheres of Power, Politics and AuthorityHalafu mama anataka watu wajadili uchumi na sio siasa.
Anachokitafuta atakipata tu, wewe subiri tu.
Mkuu weka hii PDF tusome vizuriSerikali imeweka kodi nyingi na kubwa sana kwenye mafuta ndio maana bei iko juu.
View attachment 1836427
Na ninaendelea kumshabikia. Kuuliza ni haki yangu ya msingi.Kaa kimya , ulimshabikia Bi kudemka , sasa kazana kudemka naye.
That's why you remain insane and fool
Hakuna achojua huyoUna kichaa wewe nchi nyingi za ulaya ziko kwenye movement ya kutokomeza matumizi ya magari ya Petrol ili kulinda mazingira kwahiyo usishangae petrol kuwa na Bei ya juu.
Hapo Hakuna uhalisia na TANZANIA