EWURA yatangaza bei mpya za mafuta

EWURA yatangaza bei mpya za mafuta

Lazima yapande kwa sababu bajeti mpya inaanza kutumika kesho rasmi. Muwe mnasikiliza bajeti inaposomwa bungeni, kuna vitu vitapanda au kushuka bei kuanzia kesho.
 
Miaka 30 kutoka sasa kutakuwa na wahamiaji haramu kutoka uarabuni kuliko kawaida! Biashara ya wese inaenda kuuliwa na akina electric engines n machines[emoji3]
Hata miaka 100 ijayo mahitaji ya mafuta bado yatakuwa yaleyale.
 
MAMA kuwa Makini na Hili la mafuta.....Mafuta Yamekua yanapanda Tuu kwa muda Mrefu sasa Leo hii kuna mkoa Ukienda na elf 10 unapata lita 3 ni hatari
 
Sometimes tunapagawa mkuu!!hadi hatujui nani ni adui yetu, kwa hiyo anayejipitisha tu mbele yetu, tusi linakuwa lake hata kama sio muhusika!!na roho zetu zinasuzika!!!hahaaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wafanyabiashara wa mafuta.wanatest mitambo. Rais samia fuatilia chukua hatua haraka sanaa.
 
Bei ya mafuta hupanda tuu endapo kwenye soko la dunia kuna kuwa na hitilafu. Hatujasikia hayo iweje leo bei ya mafuta juu? Hao EWURA ndo wanakula nao pumbavuu.
 
Mama anahujumiwa au Mama anatuhujumu?
Unajisikiaje ukajiajiri ukizi vigezo vya kununua mafuta...
Mnatuboa magari yenyewe mnatumia kutugongea wakezetu lamana hakuna
3,pakuilaza huna unalaza shell..kikubwa bia zetu na k-vant zetu tunasubiri sa 6 usiku waleo nasahizi 4kasoro 1dk..
 
Halafu mama anataka watu wajadili uchumi na sio siasa.
Anachokitafuta atakipata tu, wewe subiri tu.
Tulia wewe,we mtu mdogo Sana katika nchi hii huna uwezo wa kumtisha rais,pole Sana,mwambieni dj Mbowe aitishe maamdamano.

Shubamiti!!!
 
Wafanyabiashara wa mafuta.wanatest mitambo. Rais samia fuatilia chukua hatua haraka sanaa.
Pole Sana,nyie ndo kila siku mumo humu kupigia chepuo katiba mpya,ajabu hamjui hata katiba yetu ya sasa inasemaje,

Sasa wewe bajeti imejadiliwa bungeni na kupitishwa huku ukitaka ongezeko la Kodi kwenye mafuta ya petrol, diesel nk.leo hii unasema mama achukue hatua haraka.

Kwahiyo unamtaka rais apingane na bajeti iliyopitishwa na wabunge ili akufurahishe wewe?
 
Back
Top Bottom