EWURA yatangaza bei mpya za mafuta

EWURA yatangaza bei mpya za mafuta

Ni juu kulingana na kipato maanake nchi kama USA ni bei nafuu kuliko Sisi na wananchi wana kipato kikubwa.
Yes, US wao wanachimba crude oil na kuifanyia refinery ndio maana wametuzidi kiasi...

Mfano nchi nyingi za Ulaya zimetuzidi kipato na bado bei za mafuta ni mara mbili zaidi ya hapa kwetu, mfano nchi kama Italia mafuta ni aghali kidogo...

Venezuela ndio nchi yenye kuwauzia raia wake mafuta bei chee kwa wastani wa 0.02USD...

Ile crude ya Uganda ingewezekana kuisafisha hapa hapa East Africa, tungeula sana
 
Hivi mnataka muuziwe mafuta kiasi gani???
Bei mnayoona inafaa

Ova
 
Yes, US wao wanachimba crude oil na kuifanyia refinery ndio maana wametuzidi kiasi...

Mfano nchi nyingi za Ulaya zimetuzidi kipato na bado bei za mafuta ni mara mbili zaidi ya hapa kwetu, mfano nchi kama Italia mafuta ni aghali kidogo...

Venezuela ndio nchi yenye kuwauzia raia wake mafuta bei chee kwa wastani wa 0.02USD...

Ile crude ya Uganda ingewezekana kuisafisha hapa hapa East Africa, tungeula sana
Hizo nchi za Ulaya kipato kina justify bei zao huwezi kulinganisha na Tz.
 
Back
Top Bottom