EWURA yatangaza bei mpya za mafuta

EWURA yatangaza bei mpya za mafuta

Waliposema wanaongeza kodi kwenye mafuta ili wajenge bara bara walichemka mno...wamedumaza maendeleo Nchi nyingi wanapigana ili kupunguza bei ya mafuta ili kupunguza gharama za uendeshaji na kupanda kwa bidhaa wao wanatafuta matatizo...huyo Waziri wa fedha ni kiboko...
Alipokuwa anatangaza hayo sisi tulikuwa busy kusaini petition ili kumtoa Diamond kwenye tuzo za BET
 
Naona bei zimerudi kule kule zilikokuwa na ongezeko la safari hii ni kubwa sana, pesa ya SGR inatafutwa kwa udi na uvumba......bado ile kodi ya uzalendo kwenye line ya simu, mama anaupiga mwingi.
 
Bei ya mafuta hupanda tuu endapo kwenye soko la dunia kuna kuwa na hitilafu. Hatujasikia hayo iweje leo bei ya mafuta juu? Hao EWURA ndo wanakula nao pumbavuu.
Wakati Mwigulu anasoma bajeti hamkusikia kama mafuta yatapanda?

Aahhhh... Nimekumbuka mlikuwa busy kusaini petition ya kumtoa Diamond BET hivyo msingeweza kusikia!
 
kwa vyovyote vile bei hii ya mafuta ni umizo kwa jamii.yapo mambo mawili ya kujadiliwa.
1-EWURA inaanza kumhujumu mama
2-Wafanyabiashara wa mafuta wameachiwa ili kumodearate bei.
 
Back
Top Bottom