EWURA yatangaza bei mpya za mafuta

EWURA yatangaza bei mpya za mafuta

Tutanyookaa aisee.. Waharakishe mradi wa DART ili wengi tuhamie huko!

Halafu hawa EWURA naskia kuna percent wanachukua katika kila lita ya petrol sijajuaga zinaenda wapi?
 
Yes, US wao wanachimba crude oil na kuifanyia refinery ndio maana wametuzidi kiasi...

Mfano nchi nyingi za Ulaya zimetuzidi kipato na bado bei za mafuta ni mara mbili zaidi ya hapa kwetu, mfano nchi kama Italia mafuta ni aghali kidogo...

Venezuela ndio nchi yenye kuwauzia raia wake mafuta bei chee kwa wastani wa 0.02USD...

Ile crude ya Uganda ingewezekana kuisafisha hapa hapa East Africa, tungeula sana
We ni muongo mkubwa

Ingia humo ujifunze
IMG_20210701_102139.jpeg
 
Duhhh! Kazi ipo kwakweli.

Alafu dar bado mko nyuma sana,mafuta ya taa bado munatumia!!!
 
Halafu mama anataka watu wajadili uchumi na sio siasa.
Anachokitafuta atakipata tu, wewe subiri tu.
Women Should Never Lead Men in all Spheres of Power, Politics and Authority
Man is a Superior Gender as a Gift of Nature. Wee subirini tu mtaona ..............
 
Una kichaa wewe nchi nyingi za ulaya ziko kwenye movement ya kutokomeza matumizi ya magari ya Petrol ili kulinda mazingira kwahiyo usishangae petrol kuwa na Bei ya juu.

Hapo Hakuna uhalisia na TANZANIA
Hakuna achojua huyo
 
Back
Top Bottom