EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

Si mshaachana ,kila mtu ale 50 zake
 
Hayo ndo mambo ya kuleta jukwaani? Hebu leta mada za maana, mwanaume unashindwaje kufanya maamuzi katika hilo mpaka ulete uzi?
Majukwaa ni mengi sema unaishi primitive sana
 
Yani kaolewa and still anaomba hela nje na kutaka uhusiano mbona hiz ndoa zina uchawi mwingi nitaoa kweli?
 
Eti alpha male πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Msaidie kama ipo ndani ya uwezo wako kama auna basi
 
Asa alpha male gani upo hivyo ukiachwa achika mazima ajilaumu yeye
Hapo kakuona bwege anagongwa na wengine hela umpe wewe
 
Asa alpha male gani upo hivyo ukiachwa achika mazima ajilaumu yeye
Hapo kakuona bwege anagongwa na wengine hela umpe wewe
Wapi nmesema nmempa?
 
Wote humu watajifanya makauzu na mabahili eti hawatumi hela kwa ex lakin ukweli ni kwamba wanatuma vizuri tu... Mwanaume ukishakuwa na hela kuna vitu utaona kawaida tu kufanya as long as bado uchumi wako upo vizuri.... Mtu mmeachana lakini bado unawasiliana nae vizuri kwanini ushindwe kumsaidia wakati uwezo unao????
 
Point kubwa mno
 
ALPHA MALE unashindwaje kumpa pesa Ex-wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…