Kwa mzazi mwenzio Tuma hela inayotosha matumizi ya mtoto wako.Kama ni ishu ya Ada usimtumie mama tuma moja kwa moja shule yaani uwe na mawasiliano na shule kujua maendeleo.
Na usitume hela nyingi ya matumizi sijui malaki huko hizo ndizo zinazokuja kukuumiza.
Ukituma pesa itume kupitia kwa wakala.
Maana hawa wanawake tuliozaa nao ukituma pesa kuna mambo yafuatayo; vikoba, kausha damu, waganga, kuhonga, unakuta unatuma pesa ila siku ukienda kumwona mtoto wako unaweza toa machozi.
NB; nilishawahi kufanya hivo kwa huruma ya mtoto, nilikua natuma pesa malaki huko ila zilikuja kuniumiza kiroho hizo pesa.
Kuwa makini sana hawa wanawake ambao tumezaa nao na kuachana nao.