MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
hakukua na uhuru wa kuongea !Kwanini Uttoh hakusema hayo maneno miaka yote hiyo Magufuli akiwa anapokea 'gawio' ?
Jibu ni moja tu, Uttoh alikuwa anaogopa kusema. Hivyo asishangae wala asilaumu wakuu wa mashirika yaliyotoa 'gawio' kwa Magufuli. Kwanini? Uttoh huyu huyu na wale watoa 'gawio' wote walikuwa kwenye kikapu kimoja kinaitwa woga.
Ehš š šHayati alikua mwendawazimu
Nchi Ilikuwa inaongozwa na mtu mshamba na limbukeni" Siyo sahihi kwamba kila Shirika au Kampuni Kisheria linatakiwa kutoa Gawio kwa Serikali. Ni bahati mbaya mno Watu hatupendi Kusoma Sheria na Taratibu mbalimbali na tukitishwa tu tunalegea na kutoa. Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yakitoa Gawio kwa Makosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa Kujipendekeza zaidi hivyo nategemea kwa miaka hii Watu watajifunza na Kubadilika "
Chanzo: ITV Kipima Joto
Watanzania kwa sasa Wanafunguka tu!!!
Mwendazake's mixed legacy
Hayati alikua mwendawazimu
Vipi kuhusu wale wakuu wa mashirika ya umma yakiyotoa 'gawio'?hakukua na uhuru wa kuongea !
wewe unadhani LUDOVIC OTTOUH hana familia iliyokua inamtegemea ?
jamani familia kwanza
Hapo cha-cha. Watu wanajitojeza kwenye mashimo.Kwanini Uttoh hakusema hayo maneno miaka yote hiyo Magufuli akiwa anapokea 'gawio' ?
Jibu ni moja tu, Uttoh alikuwa anaogopa kusema. Hivyo asishangae wala asilaumu wakuu wa mashirika yaliyotoa 'gawio' kwa Magufuli. Kwanini? Uttoh huyu huyu na wale watoa 'gawio' wote walikuwa kwenye kikapu kimoja kinaitwa woga.
Halafu ghafla wanaibuka mataga fulani wameshiba magimbi yaliyochacha anakwamba Uttoh ametumwa kuja kumchafua Magufuli.Hapo cha-cha. Watu wanajitojeza kwenye mashimo.
Kitendo alichomfanyia Ben Saa Nane, Azory na wengine kilifanya kila MTU amuogope ukitaka kufungua domo lako ni kusifia Tu vinginevyo Baki na mafi yako.Halafu ghafla wanaibuka mataga fulani wameshiba magimbi yaliyochacha anakwamba Uttoh ametumwa kuja kumchafua Magufuli.
Watasema na huyu ametumwa na mafusadiš¤·š¤·" Siyo sahihi kwamba kila Shirika au Kampuni Kisheria linatakiwa kutoa Gawio kwa Serikali. Ni bahati mbaya mno Watu hatupendi Kusoma Sheria na Taratibu mbalimbali na tukitishwa tu tunalegea na kutoa. Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yakitoa Gawio kwa Makosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa Kujipendekeza zaidi hivyo nategemea kwa miaka hii Watu watajifunza na Kubadilika "
Chanzo: ITV Kipima Joto
Watanzania kwa sasa Wanafunguka tu!!!
Lazima angemlamba risasi Ile damu ya kirundi ishazoea kuua. So unaona walimteka watu wakawahi kupiga kelele ndio akaachiwa. Alikuwa apotezwe.Ex - CAG Uttoh anaongea 'Kidiplomasia' ila kuna Mwenzake Mmoja hapo Yeye 'anaua' kabisa na nadhani aliyelala Milele angekuwepo nasi asingemuacha na angemlipizia tu 'Kisasi' kama alivyozoeleka na wanaomjua.