MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
" Siyo sahihi kwamba kila Shirika au Kampuni Kisheria linatakiwa kutoa Gawio kwa Serikali. Ni bahati mbaya mno Watu hatupendi Kusoma Sheria na Taratibu mbalimbali na tukitishwa tu tunalegea na kutoa. Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yakitoa Gawio kwa Makosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa Kujipendekeza zaidi hivyo nategemea kwa miaka hii Watu watajifunza na Kubadilika "
Chanzo: ITV Kipima Joto
Watanzania kwa sasa Wanafunguka tu!!!
Chanzo: ITV Kipima Joto
Watanzania kwa sasa Wanafunguka tu!!!